Mathayo 14:16-17
Mathayo 14:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi vyakula. Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili.
Shirikisha
Soma Mathayo 14