Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:3-4

Mwanzo 49:3-4 SRUVDC

Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu. Umekuwa kama maji yavukavyo mpaka, basi nawe hutafana tena, Kwa sababu ulikipanda kitanda cha baba yako, Ukakitia unajisi; alikipandia kitanda changu.

Soma Mwanzo 49