Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:3-4

Mwanzo 49:3-4 NEN

“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, kwenye kitanda changu na kukinajisi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:3-4