Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zek 8:22-23

Zek 8:22-23 SUV

Naam, watu wa kabila nyingi na mataifa hodari watakuja Yerusalemu kumtafuta BWANA wa majeshi, na kuomba fadhili za BWANA. BWANA wa majeshi asema hivi, Siku hizo watu kumi, wa lugha zote za mataifa, wataushika upindo wa nguo yake yeye aliye Myahudi; naam, wataushika wakisema, Tutakwenda pamoja nanyi, kwa maana tumesikia kwamba Mungu yu pamoja nanyi.

Soma Zek 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zek 8:22-23