Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zek 8:16-17

Zek 8:16-17 SUV

Haya ndiyo mtakayoyatenda; kila mtu na aseme kweli na jirani yake; hukumuni kweli na hukumu ya amani malangoni mwenu; wala mtu wa kwenu asiwaze mabaya moyoni mwake juu ya jirani yake; wala msipende kiapo cha uongo; maana hayo yote ndiyo niyachukiayo, asema BWANA.

Soma Zek 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zek 8:16-17