Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 8:25-28

Rum 8:25-28 SUV

Bali tukikitarajia kitu tusichokiona, twakingojea kwa saburi. Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu. Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.

Soma Rum 8

Video for Rum 8:25-28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 8:25-28