Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 4:22-25

Rum 4:22-25 SUV

Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki. Walakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake; bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu; ambaye alitolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa ili mpate kuhesabiwa haki.

Video ya Rum 4:22-25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 4:22-25