Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 3:9-12

Rum 3:9-12 SUV

Ni nini basi? Tu bora kuliko wengine? La! Hata kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi; kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.

Soma Rum 3

Video for Rum 3:9-12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 3:9-12