Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 13:11-12

Rum 13:11-12 SUV

Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu u karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini Usiku umeendelea sana, mchana umekaribia, basi na tuyavue matendo ya giza, na kuzivaa silaha za nuru.

Soma Rum 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 13:11-12