Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 13:1-2

Rum 13:1-2 SUV

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

Video ya Rum 13:1-2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 13:1-2