Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 12:19-21

Rum 12:19-21 SUV

Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

Video ya Rum 12:19-21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 12:19-21