Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 10:13-15

Rum 10:13-15 SUV

kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri? Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!

Soma Rum 10

Video for Rum 10:13-15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 10:13-15