Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:6-8

Ufu 19:6-8 SUV

Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Haleluya; kwa kuwa Bwana Mungu wetu, Mwenyezi, amemiliki. Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari. Naye amepewa kuvikwa kitani nzuri, ing’arayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.

Soma Ufu 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:6-8