Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:12-13

Ufu 19:12-13 SUV

Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe. Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu.

Soma Ufu 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha