Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 1:10-11

Ufu 1:10-11 SUV

Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu, ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 1:10-11