Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 84:10-11

Zab 84:10-11 SUV

Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu. Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kukaa katika hema za uovu. Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu.

Soma Zab 84

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 84:10-11