Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 71:7-9

Zab 71:7-9 SUV

Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, Na Wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu. Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa. Usinitupe wakati wa uzee, Nguvu zangu zipungukapo usiniache.

Soma Zab 71

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha