Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 71:7-9

Zaburi 71:7-9 NEN

Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara. Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa. Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha