Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 41:4-6

Zab 41:4-6 SUV

Nami nalisema, BWANA, unifadhili, Uniponye roho yangu maana nimekutenda dhambi. Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake likapotea? Na mmoja wao akija kunitazama asema uongo, Moyo wake hujikusanyia maovu, Naye atokapo nje huyanena.

Soma Zab 41

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 41:4-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha