Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 40:1-3

Zab 40:1-3 SUV

Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu. Akatia wimbo mpya kinywani mwangu, Ndio sifa zake Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa, Nao watamtumaini BWANA

Soma Zab 40

Verse Images for Zab 40:1-3

Zab 40:1-3 - Nalimngoja BWANA kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Akanipandisha toka shimo la uharibifu,
Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani,
Akaziimarisha hatua zangu.
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu,
Ndio sifa zake Mungu wetu.
Wengi wataona na kuogopa,
Nao watamtumaini BWANA

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 40:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha