Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 34:12-16

Zab 34:12-16 SUV

Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima, Apendaye siku nyingi apate kuona mema? Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila. Uache mabaya ukatende mema, Utafute amani ukaifuatie. Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao. Uso wa BWANA ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.

Soma Zab 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 34:12-16