Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 20:4-7

Zab 20:4-7 SUV

Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kuyatimiza mashauri yako yote. Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. BWANA akutimizie matakwa yako yote. Sasa najua kuwa BWANA amwokoa masihi wake; Atamjibu toka mbingu zake takatifu, Kwa matendo makuu ya wokovu Ya mkono wake wa kuume. Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.

Soma Zab 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 20:4-7