Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 133:1-3

Zab 133:1-3 SUV

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja. Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake. Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko BWANA alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.

Soma Zab 133

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 133:1-3