Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:49-50

Zab 119:49-50 SUV

Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Kwa sababu umenitumainisha. Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenihuisha.

Soma Zab 119