Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:14-16

Zab 119:14-16 SUV

Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi. Nitayatafakari mausia yako, Nami nitaziangalia njia zako. Nitajifurahisha sana kwa amri zako, Sitalisahau neno lako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 119:14-16