Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:14-16

Zaburi 119:14-16 NEN

Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi. Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako. Ninafurahia maagizo yako, wala sitalipuuza neno lako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 119:14-16