Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:134-136

Zab 119:134-136 SUV

Unikomboe na dhuluma ya mwanadamu, Nipate kuyashika mausia yako. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako. Macho yangu yachuruzika mito ya maji, Kwa sababu hawaitii sheria yako.

Soma Zab 119