Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 118:14-17

Zab 118:14-17 SUV

BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu. Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu. Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu. Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

Soma Zab 118