Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 116:7-12

Zab 116:7-12 SUV

Ee nafsi yangu, urudi rahani mwako, Kwa kuwa BWANA amekutendea ukarimu. Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka. Nitaenenda mbele za BWANA Katika nchi za walio hai. Naliamini, kwa maana nitasema, Mimi naliteswa sana. Mimi nalisema kwa haraka yangu, Wanadamu wote ni waongo. Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?

Soma Zab 116