Mit 3:21-23
Mit 3:21-23 SUV
Mwanangu, yasiondoke haya machoni pako, Shika hekima kamili na busara. Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa.