Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 24:3-7

Mit 24:3-7 SUV

Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza. Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. Kwa mpumbavu hekima haipatikani; Hafumbui kinywa chake langoni.

Soma Mit 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 24:3-7