Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 23:20-21

Mit 23:20-21 SUV

Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa. Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.

Soma Mit 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 23:20-21