Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 15:1-9

Mit 15:1-9 SUV

Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu. Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu. Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema. Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo. Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye; Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara. Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu. Midomo ya mwenye haki hueneza maarifa; Bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo. Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake. Njia ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali humpenda mtu afuatiaye wema.

Soma Mit 15

Verse Images for Mit 15:1-9

Mit 15:1-9 - Jawabu la upole hugeuza hasira;
Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri;
Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Macho ya BWANA yako kila mahali;
Yakimchunguza mbaya na mwema.
Ulimi safi ni mti wa uzima;
Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.
Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye;
Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara.
Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi;
Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu.
Midomo ya mwenye haki hueneza maarifa;
Bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo.
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA;
Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
Njia ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA;
Bali humpenda mtu afuatiaye wema.Mit 15:1-9 - Jawabu la upole hugeuza hasira;

Bali humpenda mtu afuatiaye wema.