Mit 1:20-21
Mit 1:20-21 SUV
Hekima hupaza sauti yake katika njia kuu, Hutoa sauti yake katika viwanja; Hulia penye mikutano mikubwa ya watu, Mahali pa kuyaingilia malango, Ndani ya mji hutamka maneno yake.