Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 1:1-4

Mit 1:1-4 SUV

Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari

Soma Mit 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 1:1-4