Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 4:12-13

Flp 4:12-13 SUV

Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa. Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

Soma Flp 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 4:12-13