Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 3:7-8

Flp 3:7-8 SUV

Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, naliyahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo

Soma Flp 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 3:7-8