Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 2:28-30

Flp 2:28-30 SUV

Kwa hiyo nimefanya bidii nyingi zaidi kumtuma, ili mtakapomwona tena mpate kufurahi, nami nipunguziwe huzuni yangu. Mpokeeni, basi, katika Bwana, kwa furaha yote, mkawahesabu watu kama huyu kuwa watu wa kuheshimiwa. Maana kwa ajili ya kazi ya Kristo alikaribia kufa akaponza roho yake; ili kusudi ayatimize yaliyopungua katika huduma yenu kwangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 2:28-30