Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 2:14-15

Flp 2:14-15 SUV

Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano, mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu

Soma Flp 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 2:14-15