Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flm 1:15-17

Flm 1:15-17 SUV

Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele; tokea sasa, si kama mtumwa, bali zaidi ya mtumwa, ndugu mpendwa; kwangu mimi sana, na kwako wewe zaidi sana, katika mwili na katika Bwana. Basi kama ukiniona mimi kuwa mshirika nawe, mpokee huyu kama mimi mwenyewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flm 1:15-17