Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 8:22-25

Mk 8:22-25 SUV

Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu? Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda. Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi.

Soma Mk 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 8:22-25