Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 12:43-44

Mk 12:43-44 SUV

Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina; maana hao wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi; bali huyu katika umaskini wake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndiyo riziki yake yote pia.

Soma Mk 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 12:43-44