Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:13-16

Mk 10:13-16 SUV

Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Ila Yesu alipoona alichukizwa sana, akawaambia, Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie; kwa maana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao. Amin, nawaambieni, Ye yote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa. Akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabarikia.

Soma Mk 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 10:13-16