Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 7:13-14

Mt 7:13-14 SUV

Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

Picha ya aya ya Mt 7:13-14

Mt 7:13-14 - Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 7:13-14