Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 5:23-24

Mt 5:23-24 SUV

Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

Soma Mt 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 5:23-24