Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 5:19

Mt 5:19 SUV

Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Soma Mt 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 5:19