Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 21:33

Mt 21:33 SUV

Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye nyumba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 21:33