Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 12:34-37

Mt 12:34-37 SUV

Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake. Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya. Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

Soma Mt 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 12:34-37