Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 11:4-5

Mt 11:4-5 SUV

Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona; vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.

Soma Mt 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 11:4-5