Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 11:11-13

Mt 11:11-13 SUV

Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; walakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye. Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka. Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.

Soma Mt 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 11:11-13